Nenda kwa yaliyomo

Amri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:44, 8 Mei 2020 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Amri za Mungu zilizoandikwa kwa Kiebrania juu ya...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Amri za Mungu zilizoandikwa kwa Kiebrania juu ya sahani ya kioo.

Amri (kutoka Kiarabu) ni agizo au katazo linalotolewa na mamlaka yoyote kwa watu walio chini yake kwa namna moja au nyingine.

Katika Biblia ni maarufu Amri Kumi za Mungu.

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amri kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.