Kihijuk
Mandhari
Kihijuk ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wahijuk. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kihijuk imehesabiwa kuwa watu 400 katika kijiji kimoja tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihijuk kiko katika kundi la A50.
Viungo vya nje
- lugha ya Kihijuk kwenye Multitree
- ramani ya Kihijuk
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=hij
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihijuk kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |