Nenda kwa yaliyomo

Kapadokia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:30, 27 Aprili 2020 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '[[Ramani ya Dola la Waajemi Waakemenidi.]] '''Kapadokia''' (kwa Kigiriki: Καππαδοκία, Kappa...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

[[:File:Map of the Achaemenid Empire.jpg|Ramani ya Dola la Waajemi Waakemenidi.]] Kapadokia (kwa Kigiriki: Καππαδοκία, Kappadokía) ilikuwa eneo la katikati ya rasi ya Anatolia (leo nchini Uturuki).

Hadi mwaka 17 BK ilikuwa huru, mji mkuu ukiwa Kaisarea ya Kapadokia.

Baadaye ilitekwa na Dola la Roma hadi Waturuki walipoiteka moja kwa moja kuanzia mwaka 1071.

Marejeo

  • Mitchell, Stephen (2018). "Cappadocia". Katika Nicholson, Oliver (mhr.). The Oxford Dictionary of Late Antiquity. Oxford University Press. ISBN 978-0192562463. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Raditsa, Leo (1983). "Iranians in Asia Minor". Katika Yarshater, Ehsan (mhr.). The Cambridge History of Iran, Vol. 3 (1): The Seleucid, Parthian and Sasanian periods. Cambridge University Press. ISBN 978-1139054942. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Weiskopf, Michael (1990). "Cappadocia". Encyclopaedia Iranica, Vol. IV, Fasc. 7–8. pp. 780–786. http://www.iranicaonline.org/articles/cappadocia.