Nenda kwa yaliyomo

Nasaba ya Flavia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:42, 28 Julai 2020 na Gladys Gibbs (majadiliano | michango) (+The Triumph of Titus Alma Tadema.jpg #WPWP #WPWPTZ)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Familia ya Kiflavia

Nasaba ya Flavia ilikuwa nasaba ya Makaizari wa Roma. Ilidumu kuanzia 69 hadi 96 chini ya utawala wa Vespasian, Titus na Domitian.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]