Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Mchawi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:21, 16 Septemba 2010 na CGN2010 (majadiliano | michango) (Majadiliano:Wachawi umesogezwa hapa Majadiliano:Mchawi: umoja)

Makala inakosa maelezo yanayotakiwa kulingana na kamusi elezo. Iboreshwe na kupelekwa kwenye hali ya kitaalamu kiasi au ifutwe. Kama mwanzilishaji anaamini kuwepo kwa majini, mapepo n.k. sharti ajue kwa nini watu wengine hawaamini hasa wataalamu hawakubali hoja hili, sharti aweze kutaja maoni mengine na sababu zao na kurejea majadiliano yaliyopo katika swali hili Kipala (majadiliano) 08:16, 16 Septemba 2010 (UTC)[jibu]