Nenda kwa yaliyomo

Mwaka wa Kanisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 19:53, 29 Agosti 2009 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Created page with '450px|thumb|Mwaka wa Kanisa kadiri ya [[kalenda ya liturujia ya Roma]] '''Mwaka wa Kanisa''' ni muda ambapo [[Ukristo|Wakristo...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mwaka wa Kanisa kadiri ya kalenda ya liturujia ya Roma

Mwaka wa Kanisa ni muda ambapo Wakristo wanaadhimisha fumbo la Kristo.

Wakati dunia inapozunguka kandokando ya jua hadi kurudi ilipokuwa, jumuia ya wafuasi wa Yesu inazunguka kandokando yake ili kuzidi kumfahamu kwa imani, kumuadhimisha kwa tumaini na kumfuata kwa upendo.

Viungo vya nje