Nenda kwa yaliyomo

Papa Anastasio II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 04:15, 23 Septemba 2008 na SieBot (majadiliano | michango) (roboti Nyongeza: et:Anastasius II)

Papa Anastasio II alikuwa papa kuanzia 24 Novemba, 496 hadi kifo chake tarehe 16 Novemba, 498. Alimfuata Papa Gelasio I.

Viungo vya nje

Kuhusu Papa Anastasio II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki