Nenda kwa yaliyomo

Khiara Keating

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Keating akichezea Coventry United mnamo 2023

Khiara Ilhaan Keating (alizaliwa 27 Juni 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu,kutoka Uingereza ambae anacheza kama golikipa wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1] na timu ya taifa ya Uingereza.[2] Hapo awali amecheza kwa mkopo AFC Flyde na Coventry United.

  1. "Khiara Keating: How the England teenager usurped two Lionesses to become Manchester City's No.1 and earn a first call-up from Sarina Wiegman to back-up Mary Earps | Goal.com India". www.goal.com (kwa Indian English). 2023-12-01. Iliwekwa mnamo 2024-04-29.
  2. "Kirby returns to England squad after eight months out", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2024-04-29
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khiara Keating kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.