Nenda kwa yaliyomo

Mvzzle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gift Selaelo Morukhuladi (alizaliwa 11 Novemba, 1994), anajulikana kitaaluma kama Mvzzle ni DJ wa Afrika Kusini, mwimbaji- mtunzi wa nyimbo, na mtayarishaji. Anajulikana kwa kutengeneza wimbo wa "Umlilo" [1] wa DJ Zinhle . [2]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Gift S. Morukhuladi alizaliwa huko Musina na kukulia katika kijiji kiitwacho Mountain View. Mama yake ni mfanyabiashara na baba yake alikuwa mwanju wa bendi ya kijeshi. Akiwa na umri wa miaka 8, alihamia Polokwane International Gateway ili kuwa na wazazi wake. Kwa wakati huu, baba yake alikuwa ameacha kuwa mwanju hadi kuwa Band Master katika Bendi ya Jeshi la Afrika Kusini. [3][4]

  1. "DJ Zinhle – Umlilo 2.0 ft. Mvzzle, Rethabile". YouTube. 5 Desemba 2019. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Mvzzle's rise to fame", 19 January 2021. 
  3. Morukhuladi, Gift (2021). "Mvzzle, early life". Warner music South Africa. Iliwekwa mnamo 21 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Lerato Mareletse (2020-06-06). "Mvzzle set out to shake up the industry". Just Trimmings (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mvzzle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.