Nenda kwa yaliyomo

Lotte Wubben-Moy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lotte Wubben-Moy kabla ya mechi ya kirafiki dhidi ya Ubelgiji 2022

Carlotte Mae Wubben-Moy (alizaliwa 11 Januari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama mlinzi wa Arsenal katika Ligi Kuu ya Wanawake(WSL) na timu ya taifa ya Uingereza.

Hapo awali alicheza soka katika chuo kikuu cha North Carolina Tar Heels huko Marekani na amewakilisha Uingereza katika mashindano ya walio na umri wa miaka 15 hadi chini ya 21. Wubben-Moy alipokea mwito wake wa kwanza wa kambi ya Wanawake wa Uingereza mnamo Septemba 2020.[2] Alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Wanawake Uingereza mnamo Machi 2021.[3]

  1. "List of Players – England" (PDF). FIFA. 24 Septemba 2016. uk. 4. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 4 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "England's Euro 2022 winners honoured with gold plaques at local football clubs". 90min. 2022-09-22. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-02. Iliwekwa mnamo 2023-04-02.
  3. Sanders, Emma (27 Februari 2024). "England 5-1 Italy: Lionesses comfortably beat Italians in friendly match". BBC Sport. Iliwekwa mnamo 27 Februari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lotte Wubben-Moy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.