Nenda kwa yaliyomo

Sandra Starke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sandra Starke

Sandra Starke (alizaliwa 31 Julai 1993,Namibia) ni mchezaji wa soka wa nchini Ujerumani na ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga na timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani.[1]

  1. "Glückwunsch zum Geburtstag, Manfred Starke!" (kwa Kijerumani). Hansa Rostock. 21 Februari 2012. Iliwekwa mnamo 1 Septemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandra Starke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.