Nenda kwa yaliyomo

Wikipedia ya Kidenmark

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.

Wikipedia ya Kidenmark ni toleo la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kidenmark. Wikipedia hii, iliazishwa mnamo tar. 1 Februari katika mwaka wa 2002. Na kwa tar. 28 Desemba 2008, Wikipedia hii imefikisha zaidi ya makala 100,000. Kutokana na Kidenmark kuwa lugha inayoingiliana na Kiswidi na Kinorwei, wasimamizi wa mitandao hushirikiana kwa heshima ya mitandao yao ya Wikipedia kwa kupitia Skanwiki sehemu ya mtando wa Wikimedia mashuhuri kama Meta-Wiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikipedia
Wikipedia
Wikipedia ya Kidenmark ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kidenmark kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.