Stethoskopu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created by translating the page "Stethoscope" |
No edit summary |
||
(Sahihisho moja la kati na mtumizi mwingine na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1:
[[Picha:Stethoscope-2.jpg|thumb|
[[Picha:Standardized-Patient-Program-examining-t_he-abdomen.jpg|thumb|Matumizi ya stethoskopu.]]
'''Stethoskopu''' (kutoka [[Kiing.]] ''stethoscope)'' ni [[kifaa]] cha kusikilizia [[sauti]] zinazotoka katika viungo mbalimbali vya [[mwili]] kama vile [[moyo]], [[mapafu]] au [[utumbo]]. Inatumiwa na [[Tabibu|matabibu]] na [[wafanyakazi]] wengine wa [[tiba
Stethoskopu ya kisasa imeundwa na [[bomba]] la [[plastiki]] linalonyumbulika lenye kifaa cha [[sikio|sikioni]] upande
Kifaa cha kutambua sauti kina [[umbo]] la [[kengele]] inayofunikwa kwa [[utando]] mwembamba.
{{mbegu-tiba}}
[[Jamii:Kifaa cha matibabu]]
|