Ignas wa Santhià (jina la awali: Lorenzo Maurizio Belvisotti; 5 Juni 1686 - 22 Septemba 1770) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini na padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.

Alikuwa na bidii kubwa kupokea maungamo ya wakosefu na kuhudumia wagonjwa[1].

Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 17 Aprili 1966, halafu Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 19 Mei 2002.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 22 Septemba, iliyokuwa siku ya kifo chake[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.