Nenda kwa yaliyomo

Kwera : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Subdivision katika sanduku
Nyongeza spishi
 
(marekebisho 3 ya kati na mtumizi yuleyule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 16: Mstari 16:
* ''[[Ploceus]]'' <small>[[Georges Cuvier|Cuvier]], 1816</small>
* ''[[Ploceus]]'' <small>[[Georges Cuvier|Cuvier]], 1816</small>
}}
}}
'''Kwera''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo wa [[jenasi]] ''[[Anaplectes]]'', ''[[Brachycope]]'' na ''[[Ploceus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Ploceidae]]. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]], lakini spishi tano zinatokea [[Asia]]. Rangi kuu ya ndege hawa ni njano, isipokuwa [[kwera kichwa-chekundu]], [[kwera michirizi]], [[kwera kahawiachekundu]] na [[kwera mweusi]]. Mara nyingi kichwa au uso ni nyeusi. Spishi bila nyeusi kichwani huitwa [[mnana]].
'''Kwera''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo wa [[jenasi]] ''[[Anaplectes]]'', ''[[Brachycope]]'' na ''[[Ploceus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Ploceidae]]. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]], lakini spishi tano zinatokea [[Asia]]. Rangi kuu ya ndege hawa ni njano, isipokuwa [[kwera kichwa-chekundu]], [[kwera michirizi]], [[kwera kahawiachekundu]] na [[kwera mweusi]]. Mara nyingi kichwa au uso ni nyeusi. Spishi bila nyeusi kichwani huitwa [[mnana]]. Spishi nyingine huitwa '''chambogo'''.


Ndege hawa hula [[mbegu]] hasa lakini [[mdudu|wadudu]] pia, hususa makinda. Spishi hizi hulifuma tago lao kwa majani ya manyasi na hulining'inizia kitawi. Matago yao hupatikana katika makundi makubwa. Jike huyataga [[yai|mayai]] 2-4.
Ndege hawa hula [[mbegu]] hasa lakini [[mdudu|wadudu]] pia, hususa makinda. Spishi hizi hulifuma tago lao kwa majani ya manyasi na hulining'inizia kitawi. Matago yao hupatikana katika makundi makubwa. Jike huyataga [[yai|mayai]] 2-4.
Mstari 49: Mstari 49:
* ''Ploceus grandis'', [[Kwera Mkubwa]] ([[w:Giant Weaver|Giant Weaver]])
* ''Ploceus grandis'', [[Kwera Mkubwa]] ([[w:Giant Weaver|Giant Weaver]])
* ''Ploceus heuglini'', [[Kwera wa Heuglin]] ([[w:Heuglin's Masked-weaver|Heuglin's Masked-weaver]])
* ''Ploceus heuglini'', [[Kwera wa Heuglin]] ([[w:Heuglin's Masked-weaver|Heuglin's Masked-weaver]])
* ''Ploceus insignis'', [[Kwera Kichwa-kahawia]] ([[w:Brown-capped Weaver|Brown-capped Weaver]])
* ''Ploceus holoxanthus'', [[Kwera wa Ruvu]] ([[w:Ruvu Weaver|Ruvu Weaver]])
* ''Ploceus insignis'', [[Kwera Utosi-kahawia]] ([[w:Brown-capped Weaver|Brown-capped Weaver]])
* ''Ploceus intermedius'', [[Kwera Macho-njano]] ([[w:Lesser Masked Weaver|Lesser Masked Weaver]])
* ''Ploceus intermedius'', [[Kwera Macho-njano]] ([[w:Lesser Masked Weaver|Lesser Masked Weaver]])
* ''Ploceus jacksoni'', [[Kwera Mgongo-dhahabu]] ([[w:Golden-backed Weaver|Golden-backed Weaver]])
* ''Ploceus jacksoni'', [[Kwera Mgongo-dhahabu]] ([[w:Golden-backed Weaver|Golden-backed Weaver]])
Mstari 59: Mstari 60:
* ''Ploceus nelicourvi'', [[Kwera wa Nelikurvi]] ([[w:Nelicourvi Weaver|Nelicourvi Weaver]])
* ''Ploceus nelicourvi'', [[Kwera wa Nelikurvi]] ([[w:Nelicourvi Weaver|Nelicourvi Weaver]])
* ''Ploceus nicolli'', [[Kwera wa Usambara]] ([[w:Usambara Weaver|Usambara Weaver]])
* ''Ploceus nicolli'', [[Kwera wa Usambara]] ([[w:Usambara Weaver|Usambara Weaver]])
* ''Ploceus nigerrimus'', [[Kwera Mweusi]] ([[w:Vieillot's Black Weaver|Vieillot's Black Weaver]])
* ''Ploceus nigerrimus'', [[Kwera Mweusi]] au Chambogo ([[w:Vieillot's Black Weaver|Vieillot's Black Weaver]])
* ''Ploceus nigricollis'', [[Kwera Shingo-nyeusi]] ([[w:Black-necked Weaver|Black-necked Weaver]])
* ''Ploceus nigricollis'', [[Kwera Koo-jeusi]] ([[w:Black-necked Weaver|Black-necked Weaver]])
* ''Ploceus nigrimentus'', [[Kwera Kidevu-cheusi]] ([[w:Black-chinned Weaver|Black-chinned Weaver]])
* ''Ploceus nigrimentus'', [[Kwera Kidevu-cheusi]] ([[w:Black-chinned Weaver|Black-chinned Weaver]])
* ''Ploceus ocularis'', [[Kwera Koo-jeusi]] ([[w:Spectacled Weaver|Spectacled Weaver]])
* ''Ploceus ocularis'', [[Kwera Miwani]] ([[w:Spectacled Weaver|Spectacled Weaver]])
* ''Ploceus olivaceiceps'', [[Kwera Kichwa-kijani]] ([[w:Olive-headed Weaver|Olive-headed Weaver]])
* ''Ploceus olivaceiceps'', [[Kwera Kichwa-zeituni]] ([[w:Olive-headed Weaver|Olive-headed Weaver]])
* ''Ploceus pelzelni'', [[Kwera Domo-jembamba]] ([[w:Slender-billed Weaver|Slender-billed Weaver]])
* ''Ploceus pelzelni'', [[Kwera Domo-jembamba]] ([[w:Slender-billed Weaver|Slender-billed Weaver]])
* ''Ploceus preussi'', [[Kwera wa Preuss]] ([[w:Preuss's Weaver|Preuss's Weaver]])
* ''Ploceus preussi'', [[Kwera wa Preuss]] ([[w:Preuss's Weaver|Preuss's Weaver]])
Mstari 83: Mstari 84:
* ''Ploceus vetellinus'', [[Kwera Paji-jekundu]] ([[w:Vitelline Masked Weaver|Vitelline Masked Weaver]])
* ''Ploceus vetellinus'', [[Kwera Paji-jekundu]] ([[w:Vitelline Masked Weaver|Vitelline Masked Weaver]])
* ''Ploceus victoriae'', [[Kwera wa Viktoria]] ([[w:Victoria Masked-weaver|Victoria Masked Weaver]]) – labda [[chotara]] (''P. castanops'' x ''P.melanocephalus'')
* ''Ploceus victoriae'', [[Kwera wa Viktoria]] ([[w:Victoria Masked-weaver|Victoria Masked Weaver]]) – labda [[chotara]] (''P. castanops'' x ''P.melanocephalus'')
* ''Ploceus weynsi'', [[Kwera Kichwa-chekundu]] ([[w:Weyns's Weaver|Weyns's Weaver]])
* ''Ploceus weynsi'', [[Kwera wa Weyns]] ([[w:Weyns's Weaver|Weyns's Weaver]])
* ''Ploceus xanthops'', [[Mnana Mkubwa]] ([[w:Holub's Golden-weaver|Holub's Golden-weaver]])
* ''Ploceus xanthops'', [[Mnana Mkubwa]] ([[w:Holub's Golden-weaver|Holub's Golden-weaver]])
* ''Ploceus xanthopterus'', [[Mnana Koo-kahawia]] ([[w:Southern Brown-throated Weaver|Southern Brown-throated Weaver]])
* ''Ploceus xanthopterus'', [[Mnana Koo-kahawia]] ([[w:Southern Brown-throated Weaver|Southern Brown-throated Weaver]])
Mstari 95: Mstari 96:
==Picha==
==Picha==
<gallery>
<gallery>
File:Strange weaver.jpg|Kwera-milima
Red-headed weaver (Anaplectes rubriceps leuconotus) male.jpg|Kwera kichwa-chekundu
Maxwell's Black Weaver, Kakum, Ghana S4E1381, crop.jpg|Kwera wa Maxwell
File:Ploceus baglafecht1.jpg|Kwera uso-mweusi
Strange weaver.jpg|Kwera-milima
File:Flickr - Rainbirder - Dark-backed Weaver (Ploceus bicolor) (cropped).jpg|Kwera rangi-mbili
Orange Weaver near Ankasa - Ghana 14 S4E2261 (15578575333).jpg|Kwera machungwa
File:Cape Weaver RWD1.jpg|Mnana kusi
File:Ploceus castaneiceps male.JPG|Mnana wa Taveta
Ploceus baglafecht1.jpg|Dume la kwera uso-mweusi
File:Lesser Masked Weaver (Ploceus intermedius) (6035844600).jpg|Kwera macho-njano
Baglafecht Weaver (Ploceus baglafecht) - Flickr - Lip Kee.jpg|Jike la kwera uso-mweusi
File:Golden-backed Weaver.jpg|Kwera mgongo-dhahabu
Flickr - Rainbirder - Dark-backed Weaver (Ploceus bicolor) (cropped).jpg|Kwera rangi-mbili
Golden Palm Weaver - Meru - Kenya 06 8317 (22850470935).jpg|Kwera-minazi
File:Ploceus à Palmarin.jpg|Kwera mdogo
File:Streaked Weaver (Ploceus manyar) W IMG 6839.jpg|Kwera michirizi
Cape Weaver RWD1.jpg|Mnana kusi
Taveta Golden-weaver nest.JPG|Mnana wa Taveta
File:Ploceus melanocephalus.jpg|Kwera mgongo-njano
Northern Brown-throated Weaver (Ploceus castanops) (45671971275).jpg|Mnana-mafunjo
File:Vieillots black weaver.jpg|Kwera mweusi
File:Slender billed weaver.jpg|Kwera domo-jembamba
Juba Weaver.jpg|Kwera wa Juba
File:Ploceus-rubiginosus-2.jpg|Kwera kahawiachekundu
Al-habbak.jpg|Kwera wa Rüppell
File:Speke's-weaver.jpg|Kwera kidari-kahawia
Brown-capped Weaver - Kakamega - Kenya 06 2716 (22227720784).jpg|Kwera utosi-kahawia
File:Ploceus subaureus Zanzibar.jpg|Mnana tumbo-dhahabu
Lesser Masked Weaver (Ploceus intermedius) (6035844600).jpg|Kwera macho-njano
Golden-backed Weaver.jpg|Kwera mgongo-dhahabu
File:Village weaver at Limbe, Cameroon, by Julie Langford.jpg|Kwera rangi-tatu
20160605 0523 Bangweulu Tisserin du Katanga.jpg|Kwera wa Katanga
File:Maskenwebervogel.jpg|Kwera paji-njano
Ploceus à Palmarin.jpg|Kwera mdogo
File:Dotterweber Vitelline Masked Weaver Textor vitellinus-cropped.jpg|Kwera paji-jekundu
Streaked Weaver (Ploceus manyar) W IMG 6839.jpg|Kwera michirizi
File:Holub's Golden-weaver.jpg|Mnana mkubwa
Ploceus melanocephalus.jpg|Kwera mgongo-njano
File:Southern brown-throated weaver (Ploceus xanthopterus) in Phragmites.jpg|Mnana koo-kahawia
Black-billed Weaver - Kakamega - Kenya 6 1635 (22227722834).jpg|Kwera kichwa-njano
Nelicourvi weaver.jpg|Kwera wa Nelikurvi
Vieillots black weaver.jpg|Kwera mweusi
Black-necked Weaver near Kakum - Ghana 14 S4E2483 (16011053070).jpg|Kwera koo-jeusi
Ploceus ocularis -Umhlanga, KwaZulu-Natal, South Africa-8.jpg|Kwera miwani
Olive-Headed Weaver (6885915701).jpg|Kwera kichwa-zeituni
Slender billed weaver.jpg|Kwera domo-jembamba
Sakalavawever 2.JPG|Kwera wa Sakalava
Ploceus-rubiginosus-2.jpg|Kwera kahawiachekundu
Speke's-weaver.jpg|Kwera kidari-kahawia
Ploceus subaureus Zanzibar.jpg|Mnana tumbo-dhahabu
Compact Weaver - Kibale - Uganda 06 4363 (22432186368).jpg|Kwera domo-nene
Northern Masked Weaver.jpg|Kwera paji-jeusi
Village weaver at Limbe, Cameroon, by Julie Langford.jpg|Kwera rangi-tatu
Maskenwebervogel.jpg|Kwera paji-njano
Dotterweber Vitelline Masked Weaver Textor vitellinus-cropped.jpg|Kwera paji-jekundu
Holub's Golden-weaver.jpg|Mnana mkubwa
Southern brown-throated weaver (Ploceus xanthopterus) in Phragmites.jpg|Mnana koo-kahawia
</gallery>
</gallery>
<gallery>
<gallery>
File:Black-breasted Weaver I IMG 9557.jpg|Bengal weaver
Blackbreastedweaver DSC 6527 040813 dadri.jpg|Black-breasted weaver
File:Asian Golden Weaver (Ploceus hypoxanthus) - male.jpg|Asian golden weaver
Asian Golden Weaver (Ploceus hypoxanthus) - male.jpg|Asian golden weaver
File:Baya Weaver (Ploceus philippinus)- Male W2 IMG 0709.jpg|Baya weaver
Finn's Weaver Baur Reservoir Uttarand India 05.10.2014.jpg|Finn's weaver
Baya Weaver (Ploceus philippinus)- Male W2 IMG 0709.jpg|Baya weaver
</gallery>
</gallery>



Toleo la sasa la 09:25, 20 Januari 2021

Kwera
Kwera nguya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea (Ndege kama shomoro)
Familia: Ploceidae (Ndege walio na mnasaba na kwera)
Ngazi za chini

Jenasi 3:

Kwera ni ndege wadogo wa jenasi Anaplectes, Brachycope na Ploceus katika familia Ploceidae. Takriban spishi zote zinatokea Afrika, lakini spishi tano zinatokea Asia. Rangi kuu ya ndege hawa ni njano, isipokuwa kwera kichwa-chekundu, kwera michirizi, kwera kahawiachekundu na kwera mweusi. Mara nyingi kichwa au uso ni nyeusi. Spishi bila nyeusi kichwani huitwa mnana. Spishi nyingine huitwa chambogo.

Ndege hawa hula mbegu hasa lakini wadudu pia, hususa makinda. Spishi hizi hulifuma tago lao kwa majani ya manyasi na hulining'inizia kitawi. Matago yao hupatikana katika makundi makubwa. Jike huyataga mayai 2-4.

Spishi za Afrika

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za Asia

[hariri | hariri chanzo]