Nenda kwa yaliyomo

Kwera : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
Nyongeza spishi
Mstari 12: Mstari 12:
| familia = [[Ploceidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[kwera]])
| familia = [[Ploceidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[kwera]])
| jenasi = ''[[Anaplectes]]'' <small>[[Carl Reichenbach|Reichenbach]], 1863</small><br>
| jenasi = ''[[Anaplectes]]'' <small>[[Carl Reichenbach|Reichenbach]], 1863</small><br>
''[[Brachycope]]'' <small>[[Anton Reichenow|Reichenow]], 1900</small>
''[[Ploceus]]'' <small>[[Georges Cuvier|Cuvier]], 1816</small>
''[[Ploceus]]'' <small>[[Georges Cuvier|Cuvier]], 1816</small>
| spishi = Angalia katiba (±65)
| spishi = Angalia katiba (±65)
}}
}}
'''Kwera''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo wa [[jenasi]] ''[[Anaplectes]]'' na ''[[Ploceus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Ploceidae]]. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]], lakini spishi tano zinatokea [[Asia]]. Rangi kuu ya ndege hawa ni njano, isipokuwa [[kwera kichwa-chekundu]], [[kwera michirizi]], [[kwera kahawiachekundu]] na [[kwera mweusi]]. Mara nyingi kichwa au uso ni nyeusi. Spishi bila nyeusi kichwani huitwa [[mnana]].
'''Kwera''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo wa [[jenasi]] ''[[Anaplectes]]'', ''[[Brachycope]]'' na ''[[Ploceus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Ploceidae]]. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]], lakini spishi tano zinatokea [[Asia]]. Rangi kuu ya ndege hawa ni njano, isipokuwa [[kwera kichwa-chekundu]], [[kwera michirizi]], [[kwera kahawiachekundu]] na [[kwera mweusi]]. Mara nyingi kichwa au uso ni nyeusi. Spishi bila nyeusi kichwani huitwa [[mnana]].

Ndege hawa hula [[mbegu]] hasa lakini [[mdudu|wadudu]] pia, hususa makinda. Spishi hizi hulifuma tago lao kwa majani ya manyasi na hulining'inizia kitawi. Matago yao hupatikana katika makundi makubwa. Jike huyataga [[yai|mayai]] 2-4.

Mstari 21: Mstari 22:
==Spishi za Afrika==
==Spishi za Afrika==
* ''Anaplectes rubriceps'', [[Kwera Kichwa-chekundu]] ([[w:Red-headed Weaver|Red-headed Weaver]])
* ''Anaplectes rubriceps'', [[Kwera Kichwa-chekundu]] ([[w:Red-headed Weaver|Red-headed Weaver]])
* ''Brachycope anomala'', [[Kwera Mkia-mfupi]] ([[w:Bob-tailed Weaver|Bob-tailed Weaver]])
* ''Ploceus albinucha'', [[Kwera wa Maxwell]] ([[w:Maxwell's Black Weaver|Maxwell's Black Weaver]])
* ''Ploceus albinucha'', [[Kwera wa Maxwell]] ([[w:Maxwell's Black Weaver|Maxwell's Black Weaver]])
* ''Ploceus alienus'', [[Kwera-milima]] ([[w:Strange Weaver|Strange Weaver]])
* ''Ploceus alienus'', [[Kwera-milima]] ([[w:Strange Weaver|Strange Weaver]])

Pitio la 22:58, 12 Desemba 2010

Kwera
Kwera nguya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea (Ndege kama shomoro)
Familia: Ploceidae (Ndege walio na mnasaba na kwera)
Jenasi: Anaplectes Reichenbach, 1863

Brachycope Reichenow, 1900 Ploceus Cuvier, 1816

Spishi: Angalia katiba (±65)

Kwera ni ndege wadogo wa jenasi Anaplectes, Brachycope na Ploceus katika familia Ploceidae. Takriban spishi zote zinatokea Afrika, lakini spishi tano zinatokea Asia. Rangi kuu ya ndege hawa ni njano, isipokuwa kwera kichwa-chekundu, kwera michirizi, kwera kahawiachekundu na kwera mweusi. Mara nyingi kichwa au uso ni nyeusi. Spishi bila nyeusi kichwani huitwa mnana.

Ndege hawa hula mbegu hasa lakini wadudu pia, hususa makinda. Spishi hizi hulifuma tago lao kwa majani ya manyasi na hulining'inizia kitawi. Matago yao hupatikana katika makundi makubwa. Jike huyataga mayai 2-4.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha