Nenda kwa yaliyomo

Kwera : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Nyongeza picha
Nyongeza jina la Kiswahili
Mstari 16: Mstari 16:
* ''[[Ploceus]]'' <small>[[Georges Cuvier|Cuvier]], 1816</small>
* ''[[Ploceus]]'' <small>[[Georges Cuvier|Cuvier]], 1816</small>
}}
}}
'''Kwera''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo wa [[jenasi]] ''[[Anaplectes]]'', ''[[Brachycope]]'' na ''[[Ploceus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Ploceidae]]. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]], lakini spishi tano zinatokea [[Asia]]. Rangi kuu ya ndege hawa ni njano, isipokuwa [[kwera kichwa-chekundu]], [[kwera michirizi]], [[kwera kahawiachekundu]] na [[kwera mweusi]]. Mara nyingi kichwa au uso ni nyeusi. Spishi bila nyeusi kichwani huitwa [[mnana]].
'''Kwera''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo wa [[jenasi]] ''[[Anaplectes]]'', ''[[Brachycope]]'' na ''[[Ploceus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Ploceidae]]. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]], lakini spishi tano zinatokea [[Asia]]. Rangi kuu ya ndege hawa ni njano, isipokuwa [[kwera kichwa-chekundu]], [[kwera michirizi]], [[kwera kahawiachekundu]] na [[kwera mweusi]]. Mara nyingi kichwa au uso ni nyeusi. Spishi bila nyeusi kichwani huitwa [[mnana]]. Spishi nyingine huitwa '''chambogo'''.

Ndege hawa hula [[mbegu]] hasa lakini [[mdudu|wadudu]] pia, hususa makinda. Spishi hizi hulifuma tago lao kwa majani ya manyasi na hulining'inizia kitawi. Matago yao hupatikana katika makundi makubwa. Jike huyataga [[yai|mayai]] 2-4.

Mstari 59: Mstari 59:
* ''Ploceus nelicourvi'', [[Kwera wa Nelikurvi]] ([[w:Nelicourvi Weaver|Nelicourvi Weaver]])
* ''Ploceus nelicourvi'', [[Kwera wa Nelikurvi]] ([[w:Nelicourvi Weaver|Nelicourvi Weaver]])
* ''Ploceus nicolli'', [[Kwera wa Usambara]] ([[w:Usambara Weaver|Usambara Weaver]])
* ''Ploceus nicolli'', [[Kwera wa Usambara]] ([[w:Usambara Weaver|Usambara Weaver]])
* ''Ploceus nigerrimus'', [[Kwera Mweusi]] ([[w:Vieillot's Black Weaver|Vieillot's Black Weaver]])
* ''Ploceus nigerrimus'', [[Kwera Mweusi]] au Chambogo ([[w:Vieillot's Black Weaver|Vieillot's Black Weaver]])
* ''Ploceus nigricollis'', [[Kwera Koo-jeusi]] ([[w:Black-necked Weaver|Black-necked Weaver]])
* ''Ploceus nigricollis'', [[Kwera Koo-jeusi]] ([[w:Black-necked Weaver|Black-necked Weaver]])
* ''Ploceus nigrimentus'', [[Kwera Kidevu-cheusi]] ([[w:Black-chinned Weaver|Black-chinned Weaver]])
* ''Ploceus nigrimentus'', [[Kwera Kidevu-cheusi]] ([[w:Black-chinned Weaver|Black-chinned Weaver]])

Pitio la 13:31, 30 Oktoba 2020

Kwera
Kwera nguya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea (Ndege kama shomoro)
Familia: Ploceidae (Ndege walio na mnasaba na kwera)
Ngazi za chini

Jenasi 3:

Kwera ni ndege wadogo wa jenasi Anaplectes, Brachycope na Ploceus katika familia Ploceidae. Takriban spishi zote zinatokea Afrika, lakini spishi tano zinatokea Asia. Rangi kuu ya ndege hawa ni njano, isipokuwa kwera kichwa-chekundu, kwera michirizi, kwera kahawiachekundu na kwera mweusi. Mara nyingi kichwa au uso ni nyeusi. Spishi bila nyeusi kichwani huitwa mnana. Spishi nyingine huitwa chambogo.

Ndege hawa hula mbegu hasa lakini wadudu pia, hususa makinda. Spishi hizi hulifuma tago lao kwa majani ya manyasi na hulining'inizia kitawi. Matago yao hupatikana katika makundi makubwa. Jike huyataga mayai 2-4.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha