Nenda kwa yaliyomo

Kwera : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 47: Mstari 47:
* ''Ploceus galbula'', [[Kwera wa Rüppell]] ([[w:Rueppell's Weaver|Rueppell's Weaver]])
* ''Ploceus galbula'', [[Kwera wa Rüppell]] ([[w:Rueppell's Weaver|Rueppell's Weaver]])
* ''Ploceus golandi'', [[Kwera wa Clarke]] ([[w:Clarke's Weaver|Clarke's Weaver]])
* ''Ploceus golandi'', [[Kwera wa Clarke]] ([[w:Clarke's Weaver|Clarke's Weaver]])
* ''Ploceus grandis'', [Kwera Mkubwa]] ([[w:Giant Weaver|Giant Weaver]])
* ''Ploceus grandis'', [[Kwera Mkubwa]] ([[w:Giant Weaver|Giant Weaver]])
* ''Ploceus heuglini'', [[Kwera wa Heuglin]] ([[w:Heuglin's Masked-weaver|Heuglin's Masked-weaver]])
* ''Ploceus heuglini'', [[Kwera wa Heuglin]] ([[w:Heuglin's Masked-weaver|Heuglin's Masked-weaver]])
* ''Ploceus insignis'', [[Kwera Kichwa-kahawia]] ([[w:Brown-capped Weaver|Brown-capped Weaver]])
* ''Ploceus insignis'', [[Kwera Kichwa-kahawia]] ([[w:Brown-capped Weaver|Brown-capped Weaver]])

Pitio la 22:05, 14 Machi 2013

Kwera
Kwera nguya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea (Ndege kama shomoro)
Familia: Ploceidae (Ndege walio na mnasaba na kwera)
Jenasi: Anaplectes Reichenbach, 1863

Brachycope Reichenow, 1900 Ploceus Cuvier, 1816

Spishi: Angalia katiba (±65)

Kwera ni ndege wadogo wa jenasi Anaplectes, Brachycope na Ploceus katika familia Ploceidae. Takriban spishi zote zinatokea Afrika, lakini spishi tano zinatokea Asia. Rangi kuu ya ndege hawa ni njano, isipokuwa kwera kichwa-chekundu, kwera michirizi, kwera kahawiachekundu na kwera mweusi. Mara nyingi kichwa au uso ni nyeusi. Spishi bila nyeusi kichwani huitwa mnana.

Ndege hawa hula mbegu hasa lakini wadudu pia, hususa makinda. Spishi hizi hulifuma tago lao kwa majani ya manyasi na hulining'inizia kitawi. Matago yao hupatikana katika makundi makubwa. Jike huyataga mayai 2-4.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha