Majuro : Tofauti kati ya masahihisho
New page: thumb|250px|Mwambao wa Majuro '''Majuro''' ni atolli yenye nafasi ya mji mkuu wa nchi ya Visiwa vya Marshall mwenye wakazi 25,400. Atolli yote in... |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Image:RMI-Majuro-Swahili-USGS-2007.JPG|thumb|400px|Ramani ya Atolli ya Majuro]] |
|||
[[Image:Shoreline majuro.jpg|thumb|250px|Mwambao wa Majuro]] |
[[Image:Shoreline majuro.jpg|thumb|250px|Mwambao wa Majuro]] |
||
'''Majuro''' ni [[atolli]] yenye nafasi ya [[mji mkuu]] wa nchi ya [[Visiwa vya Marshall]] mwenye wakazi 25,400. Atolli yote ina visiwa vidogo 64 lakini hasa |
'''Majuro''' ni [[atolli]] yenye nafasi ya [[mji mkuu]] wa nchi ya [[Visiwa vya Marshall]] mwenye wakazi 25,400. Atolli yote ina visiwa vidogo 64 lakini hasa kanda mbili ndefu na nyembamba zinazounganishwa kwa daraja karibu na uwanja wa ndege. Eneo lote la nchi kavu ni 9.7 km². Mviringo wa visiwa vyake umezungusha hori la ndani lenye eneo la 295 km² za maji. |
||
Wakazi walio wengi hukaa kwenye |
Wakazi walio wengi hukaa kwenye kisiwa kirefu cha mashariki katika miji ya Delap, Uliga na Darrit (au: Djarot). Hii mitatu huitwa mara nyingi kwa kifupi D-U-D ikionekana kama mji moja. |
||
⚫ | |||
Wakimbizi kutoka [[Bikini (atolli)|Bikini]] wanakaa hasa kwenye kisiwa kidogo cha Ejit kando la Rita. |
|||
Upande wa magharibi wa kisiwa kirefu huitwa "Laura" ni eneo lenye rutba na mashamba. Watu wenye pesa wameanza kujenga nyumba hapa pia. |
|||
⚫ | |||
{{stub}} |
|||
[[Category:Visiwa vya Marshall]] |
[[Category:Visiwa vya Marshall]] |
||
[[Category:Miji Mikuu Australia na Pasifiki]] |
[[Category:Miji Mikuu Australia na Pasifiki]] |
Pitio la 18:50, 11 Aprili 2007
Majuro ni atolli yenye nafasi ya mji mkuu wa nchi ya Visiwa vya Marshall mwenye wakazi 25,400. Atolli yote ina visiwa vidogo 64 lakini hasa kanda mbili ndefu na nyembamba zinazounganishwa kwa daraja karibu na uwanja wa ndege. Eneo lote la nchi kavu ni 9.7 km². Mviringo wa visiwa vyake umezungusha hori la ndani lenye eneo la 295 km² za maji.
Wakazi walio wengi hukaa kwenye kisiwa kirefu cha mashariki katika miji ya Delap, Uliga na Darrit (au: Djarot). Hii mitatu huitwa mara nyingi kwa kifupi D-U-D ikionekana kama mji moja.
Uliga ni sehemu cha biashara penye maduka, benki na chuo cha Marshall. Ofisi za serikali ziko hasa Delap kuna pia maduka. Darrit ina hasa nyumba za watu pamoja na shule. Kwenye mwisho wa kisiwa kirefu kaskazini ya Darrit kuna mtaa wa vibanda unaoitwa Rita.
Wakimbizi kutoka Bikini wanakaa hasa kwenye kisiwa kidogo cha Ejit kando la Rita.
Upande wa magharibi wa kisiwa kirefu huitwa "Laura" ni eneo lenye rutba na mashamba. Watu wenye pesa wameanza kujenga nyumba hapa pia.