Nenda kwa yaliyomo

Majuro : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:Q12919
 
(marekebisho 2 ya kati na watumizi wengine 2 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 14: Mstari 14:
[[Category:Visiwa vya Marshall]]
[[Category:Visiwa vya Marshall]]
[[Category:Miji Mikuu Australia na Pasifiki]]
[[Category:Miji Mikuu Australia na Pasifiki]]

[[ca:Majuro]]
[[de:Majuro-Atoll]]
[[en:Majuro]]
[[es:Majuro]]
[[eo:Majuro]]
[[eu:Majuro]]
[[fa:ماجورو]]
[[fr:Majuro]]
[[ko:마주로]]
[[it:Majuro]]
[[he:מז'ורו]]
[[lt:Madžūras]]
[[nl:Majuro]]
[[ja:マジュロ]]
[[no:Majuro]]
[[pl:Majuro]]
[[pt:Majuro]]
[[sk:Dalap-Uliga-Darrit]]
[[fi:Majuro]]
[[sv:Majuro]]
[[th:มาจูโร]]
[[zh:馬久羅]]

Toleo la sasa la 03:56, 11 Januari 2014

Ramani ya Atolli ya Majuro
Mwambao wa Majuro

Majuro ni atolli yenye nafasi ya mji mkuu wa nchi ya Visiwa vya Marshall mwenye wakazi 25,400. Atolli yote ina visiwa vidogo 64 lakini hasa kanda mbili ndefu na nyembamba zinazounganishwa kwa daraja karibu na uwanja wa ndege. Eneo lote la nchi kavu ni 9.7 km². Mviringo wa visiwa vyake umezungusha hori la ndani lenye eneo la 295 km² za maji.

Wakazi walio wengi hukaa kwenye kisiwa kirefu cha mashariki katika miji ya Delap, Uliga na Darrit (au: Djarot). Hii mitatu huitwa mara nyingi kwa kifupi D-U-D ikionekana kama mji moja.

Uliga ni sehemu cha biashara penye maduka, benki na chuo cha Marshall. Ofisi za serikali ziko hasa Delap kuna pia maduka. Darrit ina hasa nyumba za watu pamoja na shule. Kwenye mwisho wa kisiwa kirefu kaskazini ya Darrit kuna mtaa wa vibanda unaoitwa Rita.

Wakimbizi kutoka Bikini wanakaa hasa kwenye kisiwa kidogo cha Ejit kando la Rita.

Upande wa magharibi wa kisiwa kirefu huitwa "Laura" ni eneo lenye rutba na mashamba. Watu wenye pesa wameanza kujenga nyumba hapa pia.