Nenda kwa yaliyomo

Mwaka wa Kanisa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
{{Mwaka wa liturujia}}
{{Mwaka wa liturujia}}
{{Ukristo}}
{{Ukristo}}
'''Mwaka wa Kanisa''' (pia: '''mwaka wa liturgia / [[liturujia]]''') ni mpangilio wa maadhimisho au [[kalenda]] inayoratibu majira na [[sikukuu]] za [[Ukristo]] katika muda wa [[mwaka]] 1.
'''Mwaka wa Kanisa''' (pia: '''mwaka wa liturgia / [[liturujia]]''') ni mpangilio wa maadhimisho au [[kalenda]] inayoratibu [[majira]] na [[sikukuu]] za [[Ukristo]] katika [[muda]] wa [[mwaka]] mmoja.


Kalenda hii inataja nafasi ya vipindi kama vile [[Majilio]] (Adventi), [[Noeli]], [[Kwaresima]] au [[Pasaka]], pamoja na nafasi ya sikukuu mbalimbali.
Kalenda hii inataja nafasi ya vipindi kama vile [[Majilio]] (Adventi), [[Noeli]], [[Kwaresima]] au [[Pasaka]], pamoja na nafasi ya sikukuu mbalimbali.


Sikukuu kadhaa kama [[Krismasi]] zinafuata [[tarehe]] za kudumu za [[kalenda ya jua]], lakini nyingine kama [[Pasaka]] tarehe zake zinazosogezwa katika kalenda ya kawaida, hasa kwa sababu zinafuata hesabu ya [[Jumapili]], si tarehe katika mwezi fulani.
Sikukuu kadhaa kama [[Krismasi]] zinafuata [[tarehe]] za kudumu za [[kalenda ya jua]], lakini nyingine kama [[Pasaka]] tarehe zake zinazosogezwa katika kalenda ya kawaida, hasa kwa sababu zinafuata hesabu ya [[Jumapili]], si tarehe katika [[Mwezi (wakati)|mwezi]] fulani.


Mwendo wa vipindi vya liturujia unafanana na ule wa [[maisha]] ya [[binadamu]], ambayo yana maadhimisho ya pekee na [[majira]] ya kukua na kukomaa kwa [[utulivu]]. Vivyo hivyo mwaka wa Kanisa una sikukuu na [[siku za kawaida]], vipindi vya pekee na la.
Mwendo wa vipindi vya liturujia unafanana na ule wa [[maisha]] ya [[binadamu]], ambayo yana maadhimisho ya pekee na [[majira]] ya kukua na kukomaa kwa [[utulivu]]. Vivyo hivyo mwaka wa Kanisa una sikukuu na [[siku za kawaida]], vipindi vya pekee na la.


Sehemu muhimu zaidi ya mwaka huo inategemea [[Pasaka]] na [[Noeli]], sherehe kuu mbili zinazoendesha [[muda mtakatifu]] wote, ingawa zimo sikukuu nyingine pia.
Sehemu muhimu zaidi ya mwaka huo inategemea [[Pasaka]] na [[Noeli]], sherehe kuu [[mbili]] zinazoendesha [[muda mtakatifu]] wote, ingawa zimo sikukuu nyingine pia.


==Mwaka wa Kanisa na madhehebu==
==Mwaka wa Kanisa na madhehebu==
Mstari 16: Mstari 16:


Kimsingi kuna mahesabu mawili:
Kimsingi kuna mahesabu mawili:
# [[mapokeo ya magharibi]] kwa [[Kanisa Katoliki]] la [[mapokeo ya Kiroma|Kilatini]] na [[Waprotestanti]] wengi, kama vile [[Anglikana]], [[Walutheri]], [[Wapresbiteri]], [[Wamoravian]];
# [[mapokeo]] ya [[Ukristo wa magharibi]] kwa [[Kanisa Katoliki]] la [[mapokeo ya Kiroma|Kilatini]] na [[Waprotestanti]] wengi, kama vile [[Anglikana]], [[Walutheri]], [[Wapresbiteri]], [[Wamoravian]];
# [[mapokeo ya mashariki]] kwa makanisa ya [[Waorthodoksi]] na ya [[Waorthodoksi wa mashariki]]; [[makanisa ya kale ya mashariki]] pengine huwa na sikukuu na vipindi maalumu (kwa mfano [[Wakopti]] na Kanisa la [[Uhabeshi]] wanaozingatia hasa sherehe za [[Bikira Maria]]).
# mapokeo ya [[Ukristo wa mashariki]] kwa makanisa ya [[Waorthodoksi]] na ya [[Waorthodoksi wa mashariki]]; [[makanisa ya kale ya mashariki]] pengine huwa na sikukuu na vipindi maalumu (kwa mfano [[Wakopti]] na Kanisa la [[Uhabeshi]] wanaozingatia hasa sherehe za [[Bikira Maria]]).


Tofauti kati ya [[mapokeo]] ya [[magharibi]] na [[mashariki]] kimsingi ni matengenezo ya [[kalenda ya Juliasi]] kuwa [[kalenda ya Gregori]] kuanzia [[karne ya 16]]; Kanisa Katoliki na Waprotestanti wamepokea kalenda ya Gregori lakini Waorthodoksi wanaendelea kutumia kalenda ya Juliasi iliyotangulia kuwepo.
Tofauti mojawapo kati ya [[mapokeo]] ya [[magharibi]] na [[mashariki]] kimsingi ni matengenezo ya [[kalenda ya Juliasi]] kuwa [[kalenda ya Gregori]] kuanzia [[karne ya 16]]; Kanisa Katoliki na Waprotestanti wamepokea kalenda ya Gregori lakini Waorthodoksi wanaendelea kutumia kalenda ya Juliasi iliyotangulia kuwepo.


==Muundo wa mwaka wa Kanisa==
==Muundo wa mwaka wa Kanisa==
Muundo wa kalenda hii ya mwaka wa Kanisa unasimama juu ya sikukuu kubwa mbili za Krismasi na Pasaka na vipindi vya siku vinavyofuatana nazo.
Muundo wa kalenda hii ya mwaka wa Kanisa unasimama juu ya sikukuu kubwa mbili za Krismasi na Pasaka na vipindi vya siku vinavyofuatana nazo.


Hesabu hii inaanza na Jumapili ya kwanza ya [[Majilio]] (Adventi) katika mapokeo ya magharibi ambayo ni hesabu ya kwawaida kwa Wakristo wengi wa [[Afrika ya Mashariki]]. Mwisho wa mwaka wa Kanisa ni [[Jumamosi]] kabla ya Majilio. Jumapili inayotangulia katika madhehebu mbalimbali inasheherekewa kama sikukuu ya kutazama [[milele]] au kurudi kwake [[Yesu Kristo]] kama [[mfalme]] na [[hakimu]].
Hesabu hii inaanza na Jumapili ya kwanza ya [[Majilio]] (Adventi) katika mapokeo ya magharibi ambayo ni hesabu ya kawaida kwa Wakristo wengi wa [[Afrika ya Mashariki]]. Mwisho wa mwaka wa Kanisa ni [[Jumamosi]] kabla ya Majilio. Jumapili inayotangulia katika madhehebu mbalimbali inasheherekewa kama sikukuu ya kutazama [[milele]] au kurudi kwake [[Yesu Kristo]] kama [[mfalme]] na [[hakimu]].


Krismasi na kipindi chake inategemea tarehe yake ya [[25 Desemba]] (magharibi) au [[6 Januari]] (mashariki). Jumapili ya nne (au ya sita) kabla ya Krismasi ni mwanzo cha kipindi cha kujitayarisha kwa sikukuu hiyo. Mwisho wa kipindi cha Krismasi ni moja ya Jumapili (au [[Jumatatu]]) baada ya [[Epifania]].
Krismasi na kipindi chake inategemea tarehe yake ya [[25 Desemba]] (magharibi) au [[6 Januari]] (mashariki). Jumapili ya [[nne]] (au ya [[sita]]) kabla ya Krismasi ni mwanzo cha kipindi cha kujitayarisha kwa sikukuu hiyo. Mwisho wa kipindi cha Krismasi ni moja ya Jumapili (au [[Jumatatu]]) baada ya [[Epifania]].


Kipindi cha Pasaka kinabadilika tarehe kila mwaka kwa sababu Pasaka yenyewe inategemea hesabu ya Jumapili pamoja na kutazama jua na mwezi yaani aina mbili tofauti za kalenda: ni Jumapili ya kwanza baada ya [[mwezi mpevu]] wa kwanza unaotokea baada ya [[sikusare]] ya [[21 Machi]]. Ijumaa Kuu ambayo inaadhimisha [[ukumbusho]] wa [[kifo]] cha [[Yesu]] ni [[Ijumaa]] kabla ya Pasaka.
Kipindi cha Pasaka kinabadilika tarehe kila mwaka kwa sababu Pasaka yenyewe inategemea hesabu ya Jumapili pamoja na kutazama [[jua]] na mwezi, yaani aina mbili tofauti za kalenda: ni Jumapili ya kwanza baada ya [[mwezi mpevu]] wa kwanza unaotokea baada ya [[sikusare]] ya [[21 Machi]]. Ijumaa Kuu ambayo inaadhimisha [[ukumbusho]] wa [[kifo]] cha [[Yesu]] ni [[Ijumaa]] kabla ya Pasaka.


Siku 40 kabla ya Pasaka ni kipindi cha [[Kwaresima]] kwa ajili ya maandalizi ya kumbukumbu hiyo ya [[msalaba wa Yesu|kusulibiwa]] na [[Ufufuko wa Yesu|kufufuka]] kwake. Lakini hesabu ya siku 40 kwa kawaida inaacha Jumapili za kipindi hiki. Ndiyo sababu Kwaresima inaanza kwenye [[Jumatano]] kabla ya Jumapili ya sita kabla ya Pasaka, isipokuwa huko [[Milano]] na [[parokia]] zinazofuata [[mapokeo]] yake nchini [[Italia]] na [[Uswisi]].
Siku [[arubaini]] kabla ya Pasaka ni kipindi cha [[Kwaresima]] kwa ajili ya maandalizi ya kumbukumbu hiyo ya [[msalaba wa Yesu|kusulibiwa]] na [[Ufufuko wa Yesu|kufufuka]] kwake. Lakini hesabu ya siku 40 kwa kawaida inaacha Jumapili za kipindi hiki. Ndiyo sababu Kwaresima inaanza kwenye [[Jumatano]] kabla ya Jumapili ya sita kabla ya Pasaka, isipokuwa huko [[Milano]] na [[parokia]] zinazofuata [[mapokeo]] yake nchini [[Italia]] na [[Uswisi]].


Kipindi cha Pasaka kinakwisha kwenye Jumapili ya [[Pentekoste]]<ref>Makanisa mengine yanaendelea hesabu yake hadi [[Jumapili ya Utatu]] ambayo ni Jumapili baada ya Pentekoste</ref>; Pentekoste (maana ya neno ni "hamsini", kwa kuwa inatokea takriban siku 50 baada ya Jumapili ya Pasaka).
Kipindi cha Pasaka kinakwisha kwenye Jumapili ya [[Pentekoste]]<ref>Makanisa mengine yanaendelea hesabu yake hadi [[Jumapili ya Utatu]] ambayo ni Jumapili baada ya Pentekoste</ref>; Pentekoste (maana ya neno ni "[[hamsini]]", kwa kuwa inatokea takriban siku 50 baada ya Jumapili ya Pasaka).


Vipindi vingine kati ya vipindi vya Krismasi na Pasaka ni majira bila tabia maalumu, lakini kuna sikukuu za kimadhehebu zinazoweza kutofautiana kati ya kanisa na kanisa.
Vipindi vingine kati ya vipindi vya Krismasi na Pasaka ni majira bila [[tabia]] maalumu, lakini kuna sikukuu za kimadhehebu zinazoweza kutofautiana kati ya kanisa na kanisa.


==Maana ya mwaka wa Kanisa==
==Maana ya mwaka wa Kanisa==
Ufuatano wa sikukuu unatunza kumbukumbu ya matukio muhimu katika maisha ya Yesu jinsi yanavyosimuliwa katika [[Biblia ya Kikristo]], na pengine hata ya matukio ya [[historia ya Kanisa]], hasa kwa Waorthodoksi.
Ufuatano wa sikukuu unatunza kumbukumbu ya matukio muhimu katika [[maisha]] ya [[Yesu]] jinsi yanavyosimuliwa katika [[Biblia ya Kikristo]], na pengine hata ya matukio ya [[historia ya Kanisa]], hasa kwa Waorthodoksi.


Wakati [[dunia]] inapozunguka kandokando ya [[jua]] hadi kurudi ilipokuwa, jumuia ya wafuasi wa Yesu inazunguka kandokando yake ili kuzidi kumfahamu kwa [[imani]], kumuadhimisha kwa [[tumaini]] na kumfuata kwa [[upendo]].
Wakati [[dunia]] inapozunguka kandokando ya [[jua]] hadi kurudi ilipokuwa, jumuia ya wafuasi wa [[Yesu Kristo]] inazunguka kandokando yake ili kuzidi kumfahamu kwa [[imani]], kumuadhimisha kwa [[tumaini]] na kumfuata kwa [[upendo]].


==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 10:40, 18 Septemba 2017

Mwaka wa Kanisa kadiri ya kalenda ya liturujia ya Roma kama kielelezo cha kawaida kwa Wakristo wa magharibi.
Mwaka wa liturujia
Magharibi
Mashariki


Mwaka wa Kanisa (pia: mwaka wa liturgia / liturujia) ni mpangilio wa maadhimisho au kalenda inayoratibu majira na sikukuu za Ukristo katika muda wa mwaka mmoja.

Kalenda hii inataja nafasi ya vipindi kama vile Majilio (Adventi), Noeli, Kwaresima au Pasaka, pamoja na nafasi ya sikukuu mbalimbali.

Sikukuu kadhaa kama Krismasi zinafuata tarehe za kudumu za kalenda ya jua, lakini nyingine kama Pasaka tarehe zake zinazosogezwa katika kalenda ya kawaida, hasa kwa sababu zinafuata hesabu ya Jumapili, si tarehe katika mwezi fulani.

Mwendo wa vipindi vya liturujia unafanana na ule wa maisha ya binadamu, ambayo yana maadhimisho ya pekee na majira ya kukua na kukomaa kwa utulivu. Vivyo hivyo mwaka wa Kanisa una sikukuu na siku za kawaida, vipindi vya pekee na la.

Sehemu muhimu zaidi ya mwaka huo inategemea Pasaka na Noeli, sherehe kuu mbili zinazoendesha muda mtakatifu wote, ingawa zimo sikukuu nyingine pia.

Mwaka wa Kanisa na madhehebu

Si madhehebu yote yanaangalia hesabu ya mwaka wa Kanisa kwa jumla, lakini karibu zote zinaadhimisha siku kubwa kama Krismasi, Ijumaa Kuu na Pasaka kufuatana na utaratibu uliopangwa na kueleweka.

Kimsingi kuna mahesabu mawili:

  1. mapokeo ya Ukristo wa magharibi kwa Kanisa Katoliki la Kilatini na Waprotestanti wengi, kama vile Anglikana, Walutheri, Wapresbiteri, Wamoravian;
  2. mapokeo ya Ukristo wa mashariki kwa makanisa ya Waorthodoksi na ya Waorthodoksi wa mashariki; makanisa ya kale ya mashariki pengine huwa na sikukuu na vipindi maalumu (kwa mfano Wakopti na Kanisa la Uhabeshi wanaozingatia hasa sherehe za Bikira Maria).

Tofauti mojawapo kati ya mapokeo ya magharibi na mashariki kimsingi ni matengenezo ya kalenda ya Juliasi kuwa kalenda ya Gregori kuanzia karne ya 16; Kanisa Katoliki na Waprotestanti wamepokea kalenda ya Gregori lakini Waorthodoksi wanaendelea kutumia kalenda ya Juliasi iliyotangulia kuwepo.

Muundo wa mwaka wa Kanisa

Muundo wa kalenda hii ya mwaka wa Kanisa unasimama juu ya sikukuu kubwa mbili za Krismasi na Pasaka na vipindi vya siku vinavyofuatana nazo.

Hesabu hii inaanza na Jumapili ya kwanza ya Majilio (Adventi) katika mapokeo ya magharibi ambayo ni hesabu ya kawaida kwa Wakristo wengi wa Afrika ya Mashariki. Mwisho wa mwaka wa Kanisa ni Jumamosi kabla ya Majilio. Jumapili inayotangulia katika madhehebu mbalimbali inasheherekewa kama sikukuu ya kutazama milele au kurudi kwake Yesu Kristo kama mfalme na hakimu.

Krismasi na kipindi chake inategemea tarehe yake ya 25 Desemba (magharibi) au 6 Januari (mashariki). Jumapili ya nne (au ya sita) kabla ya Krismasi ni mwanzo cha kipindi cha kujitayarisha kwa sikukuu hiyo. Mwisho wa kipindi cha Krismasi ni moja ya Jumapili (au Jumatatu) baada ya Epifania.

Kipindi cha Pasaka kinabadilika tarehe kila mwaka kwa sababu Pasaka yenyewe inategemea hesabu ya Jumapili pamoja na kutazama jua na mwezi, yaani aina mbili tofauti za kalenda: ni Jumapili ya kwanza baada ya mwezi mpevu wa kwanza unaotokea baada ya sikusare ya 21 Machi. Ijumaa Kuu ambayo inaadhimisha ukumbusho wa kifo cha Yesu ni Ijumaa kabla ya Pasaka.

Siku arubaini kabla ya Pasaka ni kipindi cha Kwaresima kwa ajili ya maandalizi ya kumbukumbu hiyo ya kusulibiwa na kufufuka kwake. Lakini hesabu ya siku 40 kwa kawaida inaacha Jumapili za kipindi hiki. Ndiyo sababu Kwaresima inaanza kwenye Jumatano kabla ya Jumapili ya sita kabla ya Pasaka, isipokuwa huko Milano na parokia zinazofuata mapokeo yake nchini Italia na Uswisi.

Kipindi cha Pasaka kinakwisha kwenye Jumapili ya Pentekoste[1]; Pentekoste (maana ya neno ni "hamsini", kwa kuwa inatokea takriban siku 50 baada ya Jumapili ya Pasaka).

Vipindi vingine kati ya vipindi vya Krismasi na Pasaka ni majira bila tabia maalumu, lakini kuna sikukuu za kimadhehebu zinazoweza kutofautiana kati ya kanisa na kanisa.

Maana ya mwaka wa Kanisa

Ufuatano wa sikukuu unatunza kumbukumbu ya matukio muhimu katika maisha ya Yesu jinsi yanavyosimuliwa katika Biblia ya Kikristo, na pengine hata ya matukio ya historia ya Kanisa, hasa kwa Waorthodoksi.

Wakati dunia inapozunguka kandokando ya jua hadi kurudi ilipokuwa, jumuia ya wafuasi wa Yesu Kristo inazunguka kandokando yake ili kuzidi kumfahamu kwa imani, kumuadhimisha kwa tumaini na kumfuata kwa upendo.

Marejeo

  1. Makanisa mengine yanaendelea hesabu yake hadi Jumapili ya Utatu ambayo ni Jumapili baada ya Pentekoste

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwaka wa Kanisa kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.