Nenda kwa yaliyomo

Upelaji : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|[[Mzushi Pelagius na Yohane Krisostomo katika ''Nuremberg Chronicle'', 1493]] '''Upelaji''' (...'
 
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.7
 
(marekebisho 3 ya kati na mtumizi yuleyule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 2: Mstari 2:
'''Upelaji''' (kwa [[Kiingereza]]: Pelagianism) ni mtazamo wa [[teolojia]] ya [[Ukristo]] unaodhani [[dhambi ya asili]] haijaharibu [[umbile]] la [[binadamu]], hivyo [[hiari]] yake inaweza bado kutekeleza [[maadili]] bila kuhitaji [[neema]] ya pekee kutoka kwa [[Mungu]]. Hatimaye mtu anaweza kujipatia [[wokovu]] kwa [[juhudi]] zake mwenyewe.
'''Upelaji''' (kwa [[Kiingereza]]: Pelagianism) ni mtazamo wa [[teolojia]] ya [[Ukristo]] unaodhani [[dhambi ya asili]] haijaharibu [[umbile]] la [[binadamu]], hivyo [[hiari]] yake inaweza bado kutekeleza [[maadili]] bila kuhitaji [[neema]] ya pekee kutoka kwa [[Mungu]]. Hatimaye mtu anaweza kujipatia [[wokovu]] kwa [[juhudi]] zake mwenyewe.


Mtazamo huo umepata [[jina]] kutokana na [[mmonaki]] wa [[Ireland]]<ref>{{cite book|last1=H. Zimmer|title="Pelagius in Ireland"|date=1901|location=Berlin|page=20}}</ref> [[Pelagius]] ([[354]]–[[420]] au [[440]]), ingawa pengine huyo alikataa baadhi ya mafundisho yaliyosemekana kuwa yake.
Mtazamo huo umepata [[jina]] kutokana na [[mmonaki]] wa [[Ireland]]<ref>{{cite book|last1=H. Zimmer|title="Pelagius in Ireland"|url=https://archive.org/details/pelagiusinirlan00zimmgoog|date=1901|location=Berlin|page=[https://archive.org/details/pelagiusinirlan00zimmgoog/page/n37 20]}}</ref> [[Pelagius]] ([[354]]–[[420]] au [[440]]), ingawa pengine huyo alikataa baadhi ya mafundisho yaliyosemekana kuwa yake.


Ulipingwa hasa na [[Agostino wa Hippo]] na kulaaniwa na [[mtaguso wa Kartago]] wa [[mwaka]] [[418]], halafu na [[mtaguso wa Efeso]] ([[431]]).
Ulipingwa hasa na [[Agostino wa Hippo]] na kulaaniwa na [[mtaguso wa Kartago]] wa [[mwaka]] [[418]], halafu na [[mtaguso wa Efeso]] ([[431]]).
Mstari 26: Mstari 26:


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://www.libraryoftheology.com/pelagianismwritings.html The Writings of the legendary Pelagians]
*[http://www.libraryoftheology.com/pelagianismwritings.html The Writings of the legendary Pelagians] {{Wayback|url=http://www.libraryoftheology.com/pelagianismwritings.html |date=20170106180458 }}
*[http://www.seanmultimedia.com/Pie_Council_Of_Carthage_May_1_418.html Canons From The Council Of Carthage Against Pelagianism, May 1, 418]
*[http://www.seanmultimedia.com/Pie_Council_Of_Carthage_May_1_418.html Canons From The Council Of Carthage Against Pelagianism, May 1, 418]
*[http://www.anabaptistnetwork.com/node/336 Pelagians, Donatists, Monks, Anabaptists and other Perfectionists] – a sympathetic look at Pelagianism and similar 'perfectionist' movements
*[http://www.anabaptistnetwork.com/node/336 Pelagians, Donatists, Monks, Anabaptists and other Perfectionists] {{Wayback|url=http://www.anabaptistnetwork.com/node/336 |date=20060211113508 }} – a sympathetic look at Pelagianism and similar 'perfectionist' movements
*[http://www.pelagius.net Pelagius Library]: Online site dedicated to the study of Pelagius
*[http://www.pelagius.net Pelagius Library] {{Wayback|url=http://www.pelagius.net/ |date=20210301081237 }}: Online site dedicated to the study of Pelagius
*[http://www.modernreformation.org/mh94pelagianism.htm Pelagianism: The Religion of Natural Man] – a critical look at Pelagianism
*[http://www.modernreformation.org/mh94pelagianism.htm Pelagianism: The Religion of Natural Man] {{Wayback|url=http://www.modernreformation.org/mh94pelagianism.htm |date=20070401111438 }} – a critical look at Pelagianism
*[http://eprints.gla.ac.uk/3310/1/Gilmarcus.pdf Marcus, Gilbert. "Pelagianism and the ‘Common Celtic Church’", University of Glasgow]
*[http://eprints.gla.ac.uk/3310/1/Gilmarcus.pdf Marcus, Gilbert. "Pelagianism and the ‘Common Celtic Church’", University of Glasgow]



Toleo la sasa la 15:04, 12 Mei 2022

Mzushi Pelagius na Yohane Krisostomo katika Nuremberg Chronicle, 1493

Upelaji (kwa Kiingereza: Pelagianism) ni mtazamo wa teolojia ya Ukristo unaodhani dhambi ya asili haijaharibu umbile la binadamu, hivyo hiari yake inaweza bado kutekeleza maadili bila kuhitaji neema ya pekee kutoka kwa Mungu. Hatimaye mtu anaweza kujipatia wokovu kwa juhudi zake mwenyewe.

Mtazamo huo umepata jina kutokana na mmonaki wa Ireland[1] Pelagius (354420 au 440), ingawa pengine huyo alikataa baadhi ya mafundisho yaliyosemekana kuwa yake.

Ulipingwa hasa na Agostino wa Hippo na kulaaniwa na mtaguso wa Kartago wa mwaka 418, halafu na mtaguso wa Efeso (431).

Hata hivyo unajitokeza tena na tena katika historia ya Kanisa, hasa katika makundi yenye juhudi katika maisha ya Kiroho kama upelajiupande.

  1. H. Zimmer (1901). "Pelagius in Ireland". Berlin. uk. 20.{{cite book}}: CS1 maint: location missing publisher (link)
  • Bercot, David. A Dictionary of Early Christian Beliefs, Hendrickson Publishers
  • Rees, B. R., The Letters of Pelagius and his Followers, The Boydell Press

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]
Maandishi ya Pelagius

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Upelaji kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.