Nenda kwa yaliyomo

Peter Higgs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Peter Higgs akiwa Stockholm, Disemba 2013.

Peter Ware Higgs (29 Mei 1929 - 8 Aprili 2024) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa amechunguza chembe za atomu.

Mwaka wa 2013, pamoja na Francois Englert, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Higgs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.